Tunauza Udongo kifusi

Tunauza Udongo kifusi

Udong

Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
14
Reaction score
2
Tunauza udongo au kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba eneo la underground parking,
Tutakusafirishia mpaka site kwako
Tupo Arusha mjini
Note: hatuuzi udongo au kifusi mhitaji anachangia usafiri tu

Unatupa location within ARUSHA ,tunamtuma dereva akague njia na site then tunakupa gharama


0756404105
 
Tunauza udongo, kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba underground parking
Tupo ARUSHA mjini
Tutakusafirishia mpaka site kwako

0756 404 105
 
Mkuu ...
Kama ni mwingi huo udongo,
Kwa nini msiwasiliane na serikali za vijiji ,Ndani ya Arusha
Ili itumike kujaza "korongo " na njia za maji katika maeneo korofi , hasa wakati wa mvua..
 
Mkuu ...
Kama ni mwingi huo udongo,
Kwa nini msiwasiliane na serikali za vijiji ,Ndani ya Arusha
Ili itumike kujaza "korongo " na njia za maji katika maeneo korofi , hasa wakati wa mvua..
Mkuu kampuni x ya ujenzi jijini Dar waliombwa na mwenyekiti wa mtaa kusaidia kusafisha mifereji ya maji taka am Ayo ilikuwa imejifukia na kusababisha mafuriko

Kampuni x ilijitolea kichumba upya Ile mifereji msimu mpya wa mvua ulipoanza Kuna maji yalishindwa kuingia kwenye ule mifereji kitu ambacho Ni kawaida kwa ujenzi wa ovyo ovyo Dar.

Maji yaliizunguka nyumba mmoja yakaharibu vitu vya ndani
Ikawa kesi mahakaman kampuni x ikashtakiwa kuwa Ni ujenzi wake ilijasababisha nyumba kuharibiwa na maji. hapo walisahau mwaka uliopita mtaa nyumba zaidi ya 30 zilizingirwa maji

Kampuni x ikalazimika kulipa Ni hela mingi

Kwa uzoefu huu leo ukimshauri mkurugenzi kuhusu Hilo , miaka miwili ikaja kesi kuwakifusi chenu kilibadili njia asilia ya maji na mamilioni ya hela yanatakiwa Kama fidia utakuwa umeifanyia uovu sana kampuni.
 
Uliza ntakufafanulia
Kamani bei unatupa location na ujazo tunamtuma dereva anakagua njia na specifics muhimu muhimu.
Kimsingi hatuuzi udongo au kifusi, tunachaji usafiri tu.
Kama unalori njoo tukupe bure kifusi
 
Mhitaji anakaribishwa site kuangamia Hali ya kifusi, tupo Arusha clocktower/tanesco uliza kanisa la Lutheran....hapo ndipo panapochombw underground packing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom