INAUZWA Tunauza Simu, Music system, laptop na home Theater

hiyo redio umeichakachua sana, angalia hata hizo spika, spika moja umeifunga spika ya subwoofer na sio spika yake og ambayo inakuwa ni mid range speaker
 
Hivi ni vigodoro vzr sana na vipo smart, ni inch4 kampuni ya comfy na dodoma, bei ni elfu 30,000 tu, yanafaa kwa boarding, hostel, nursery school na hata nyumbani, piga simu no 0734 680839 au 0714 513414
IMG-20220519-WA0001.jpg
IMG-20220519-WA0003.jpg
IMG-20220518-WA0011.jpg
IMG-20220518-WA0010.jpg
IMG-20220519-WA0005.jpg
IMG-20220519-WA0004.jpg
 
Umenikumbusha mwaka 2006 nikiwa ndio najoin 1st yr nikawa nimekosa chumba pale UD, ilibidi niende Manzese kununua kagodoro kama hako. By then nilikinunua elf 17. Nikavamia stoo moja pale hall one, nikanunua kitasa nikaanza kwa kulala chini.
Few days later kuna room ya third flr iliwaka moto wanafunzi waka vacate, tukaibuka mimi na jamaa mmoja wa second yr saa saba usiku kwenda 'kuiba' vitanda. So nikawa nimeshapata kitanda tayari. Few days later nikaibuka lecture theater ATB 'nikaiba' desk moja nikavuta na TV getto likawa limeshapendeza.
Huwa nafurahi kuingia kwenye historia ya mwanafunzi pekee wa Ud aliyeenda na godoro chuo. Wakati napita nalo wanafunzi walikuwa wananishangaa mie sina habari! Maisha haya...
 
Ni Futi 2½kwa6 Vinauzwa, vipo katika hali nzuri ni used but in good condition, bei yake ni sh 28000 kila kimoja piga simu 0734 680839 kwa mteja serious

IMG-20220519-WA0001.jpg
20220528_121452.jpg
IMG-20220519-WA0004.jpg
IMG-20220519-WA0003.jpg
 
Vyote 3 kwa sh 30000 tu piga 0734 680839 au 0783 662495
Hayo madoa ni rangi nyeusi ilimwagikia kidogo ila yanatoka , moja ni sh 12 ila kwa yote 3 ni sh 30000 tu
20220901_141640.jpg
20220901_141833.jpg
 
Ni speaker za home Theater, ipo centre na front right, na front left , zote sh 40,000 ila moja ni sh 15000 tu, piga simu 0734 680839 au 0783 662495
20211123_121650.jpg
20211123_122700.jpg
 
Ni radio nzima, 3 disc changer, FM radio, aux support, discreet drive support na speakers 2 mbili mkubwa zenye mziki mkubwa. Bei ni 180,000 tu, upande wa cd haifanyi kazi ila kama una dvd player ya kutumia cd na flash unaweza kuunganisha na hii radio, simu 0734 680839 au WhatsApp no 0783 662495
 
Ni radio nzima ,3 disc changer, FM radio, aux support, discet drive support na speakers 2 mbili mkubwa zenye mziki mkubwa. Bei ni 180,000 tu, upande wa cd haifanyi kazi ila kama una dvd player ya kutumia cd na flash unaweza kuunganisha na hii radio, simu 0734 680839 au WhatsApp no 0783 662495
Picha wapi mkuu?
 
Zimebaki zipo box 4 na pic 7 zipo Zinauzwa sh 90000 tu fixed. kwa zote, rangi ya chai ya maziwa, ni ngumu na imara. Piga simu no 0734 680839 au WhatsApp no 0783 662495, location pugu kona dar
20221008_185421.jpg
20221008_185446.jpg
 
Zipo sink za kunawia pic 3 zote ni sh 30,000 , nzima na imara sana kwa matumizi mbali mbali, piga simu no 0734 680839 au WhatsApp no 0783 662495,
Zipo pugu kona dar.
20220901_141833.jpg
20220901_141640.jpg
 
Back
Top Bottom