Nauza Laptop Ya Ufundi Bei Chee: Ikiwa Na Setup Za Windows Zote, Ubuntu, Software 150+ Na Boxes Za Kuflashia Simu Cracked 40+.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Nauza Laptop Yangu Hiyo Nikiyokuwa Naitumia Kwenye Kazi Za Ufundi Laptop Na Simu.
Kwa Wale Wanaotaka Kujifunza Au Kuendeleza Ufundi Hii Itakufaa, Mimi Niliitumia Chuo Na Nilikuwa Nawapiga Piga Hela Za Software Na Ku Unlock Simu But Ndio Nimemaliza Na Nimepata Laptop Mpya Nyingine.

Sifa Zake:

Lenovo G580
RAM 4GB
HDD 160GB
Inter 1.8Ghz
Win 10 Enterprise x64
Battery 3hrs ( Uhakika)

Vilivyomo Setup:

Software Zaidi 150+ (Recovery, Antvirus, Player, Readers, Dictionary, Utilities, Emulators, Graphics, Photo Editors, Etc)

Operating System
( Windows Xp, 7 Zote, 7 Android, 8, 8.1, 10) Zote Pre Activated.

Drivers:
( Driver Pack Offline Setup, Universal AMD Drivers, Universal USB Drivers Etc)

Ubuntu
( Zorin , Ubuntu 16.04, Solus, Kubuntu 18.04 Na Debian 9.5, Slacko 6.3, Tahr 6.0, Xeniapulp 7.5)

Cracked Phone Softwares + Boxes 40+
( Gsm Alladin, Miracle, Mrt, NCk, Odin, Falcon, Dc Unlocker, CM 2, Avengers, Volcano, Sigma Key & Etc)

Ili Kukupa Haya Maisha Mimi Nahitaji
Bei: 230,000/= Tu.

Location: Mtwara.

Contact: 0620 500 523

Kwa Uthibitisho Angalia Picha Hapo Chini

Wale Wa Dar Mzigo Naweza Kukufikishia.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha Hizi
IMG-20181229-WA0085.jpeg
IMG-20181229-WA0046.jpeg
IMG-20181229-WA0045.jpeg
IMG-20181229-WA0043.jpeg
IMG-20181229-WA0084.jpeg
IMG-20181229-WA0072.jpeg
IMG-20181229-WA0079.jpeg
IMG-20181229-WA0083.jpeg
IMG-20181229-WA0021.jpeg
IMG-20181229-WA0022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna 150,000 mkuu nipo Dar..unaweza Chomoa Hard disk yako mimi ukanipa laptop kama laptop then hyo Hard disk iuze ujazie hela ako ila nina 150,000.

Ukinipa na hard disk pia sio mbaya ntashukuru..

Ni ombi lakini(unaweza nikubalia au nikatalia)
 
Nauza Laptop Yangu Hiyo Nikiyokuwa Naitumia Kwenye Kazi Za Ufundi Laptop Na Simu.
Kwa Wale Wanaotaka Kujifunza Au Kuendeleza Ufundi Hii Itakufaa, Mimi Niliitumia Chuo Na Nilikuwa Nawapiga Piga Hela Za Software Na Ku Unlock Simu But Ndio Nimemaliza Na Nimepata Laptop Mpya Nyingine.

Sifa Zake:

Lenovo G580
RAM 4GB
HDD 160GB
Inter 1.8Ghz
Win 10 Enterprise x64
Battery 3hrs ( Uhakika)

Vilivyomo Setup:

Software Zaidi 150+ (Recovery, Antvirus, Player, Readers, Dictionary, Utilities, Emulators, Graphics, Photo Editors, Etc)

Operating System
( Windows Xp, 7 Zote, 7 Android, 8, 8.1, 10) Zote Pre Activated.

Drivers:
( Driver Pack Offline Setup, Universal AMD Drivers, Universal USB Drivers Etc)

Ubuntu
( Zorin , Ubuntu 16.04, Solus, Kubuntu 18.04 Na Debian 9.5, Slacko 6.3, Tahr 6.0, Xeniapulp 7.5)

Cracked Phone Softwares + Boxes 40+
( Gsm Alladin, Miracle, Mrt, NCk, Odin, Falcon, Dc Unlocker, CM 2, Avengers, Volcano, Sigma Key & Etc)

Ili Kukupa Haya Maisha Mimi Nahitaji
Bei: 230,000/= Tu.

Location: Mtwara.

Contact: 0620 500 523

Kwa Uthibitisho Angalia Picha Hapo Chini

Wale Wa Dar Mzigo Naweza Kukufikishia.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Francis ,,200000 VP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom