Tunauza panya

Tunauza panya

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Kwa mahitaji yako ya haraka ya panya waliokomaa weupe na weusi wasiliana nasi. Panya dume mpevu anapatikana kwa bei nafuu ya shilingi elfu tisa mia sita na thelathini tu (dola 4.29)

Zaidi ya panya unaweza kujipatia mjusi kwa bei nafuu kabisa ya laki moja thelathini na nne elfu mia sita na sabini (dola 59.99)

Kinyonga pia hupatikana kwa bei poa kabisa. Ni laki moja hamsini na saba elfu na mia moja ishirini na saba tu (dola 69.99)

Vicheche na nguchiro wanapatikana kwa oda maalumu. Wakati ndio huu wahi mapema bei za sikukuu na mwisho wa mwaka hizo.

277c780b49a39376b4d32b614be3effd.jpg


289a67be3301d8bc977e7da09035e8ca.jpg



74f307d0bdd27006c7d24a82b37d5bb1.jpg


9a8b7fcc627828ad8225b02b989687e9.jpg


Usafirishaji na kodi ni juu ya mnunuzi.
 
Daah haya ni mapinduzi makubwa sana katika sekta ya biashara.Hii itaendeleza pia sekta yetu ya UTAFITI na tunakuwa tumeua ndege wawili kwa jiwe moja.
Hofu yangu wasije kununuliwa na wamakonde chale aseee
 
Kwa ajili ya kazi gani hao wadudu???
 
Kwa ajili ya urembo nahisi na kutumbua majipu
Pamoja na tafiti mbalimbali.
Shuleni tulipasua panya na vyura kwa sana.
Hospitalini wanatumika katika majaribio ya dawa na kinga mbalimbali.
Hata mbu wana soko ukifuga kwa wingi.
Kazi njema
 
Back
Top Bottom