Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Ukanda airport yote Kitunda, Kivule huko sijui Gongo la mboto, Chanika, Pugu yaani naona vurugu tuu bila kusahau Mbagala....
 
Habari Wana jukwaa
Kiwanja kinauzwa
Location: KITUNDA, magole
Wilaya ya ilala, ( Jimbo la UKONGA)
SIFA ZAKE
kina ukubwa wa sqm 900 ( meter 30 kwa 30)
Kipo kwenye barabara ya mtaa
Kipo tambarare chote
Huduma ya maji, umeme na barabara zote zipo
Kutoka banana (nyerere road ni km 8)

PRICE 16,000,000/

Mawasiliano: 0785 857564

View attachment 2331334View attachment 2331335View attachment 2331336View attachment 2331338View attachment 2331339View attachment 2331340View attachment 2331342
Watu washajijengea mentality huko wanakaa wakurya tu.
 
Sijui kwa nini Mbagala, Gongolamboto, Kitunda naona kumekaa kushoto sana
Hayo makosa ndo walifanya wazee wetu zamani eti ilikuwa wanasema Kinondoni studio na Mkwajuni pamoja na Tazara ilikuwa porini ila sasa hivi hapakamatiki watanzania Sisi ni wabinafsi sana wakati mwingine kama una uwezo na nafasi wekeza kwa ajili ya watoto halafu usijenge kiache ww kanunue ujenge huko kibaha au Bagamoyo unapo papenda mpaka watoto wakikua hpo kitunda pameshakuwa hot in town sometimes tuwekeze kwa ajili ya watoto wetu tuache ubinafsi.
 
Huko usalama tosha tembea masaa yote panya road na vibaka awatii mguu huko.
Ukikamatwa sali sala zako za mwisho unakamatwa unatikiswa kichwa dakika 5 then wanakuachie uondoke.
Kabisa mkuu umenena vyema.
 
Mkaribie Kibaha fully Lami bei za viwanja ni chee
Ukitoka NIDA kuelekea Pangani - Bagamoyo kuna wawekezaji wanatengeneza Bandari kavu eneo lile kuna viwanja kibao vinauzwa ... maji yapo na huduma ya umeme pia ipo

Karibuni Kibaha
 
Ok, watakuja mkuu
 
Kibaha sehemu gani?
 
Back
Top Bottom