Asante sana mkuuNyumb safi sana , jamaa wameisha rudi mtaani sasa hivi itachukuliwa!!!
mmh!Nichk whatsp nikutumie mkuu na pia kuhusu bei naongezi yapo njoo uone nyumba
Duuuu, unafeli mwambaGarden yake sio mchezo; weka na bei basi
Ukweli huu mkuummh!
Asante sana mkuu na karibu sanaNyumba nzuri sana, nasubiri mkeka wangu utiki tutafutane
Hivi uko mbweni JKt kuna kiwanja cha walau 30M mtu anaweza kupata? Au vyotw ni kuanzia 100+M?
hata kujengeke vp huwezi kulinganisha Mbezi Beach na Mbweni JKT.... Mbezi ni karibu na city center.... Huko Mbweni watu wanajenga kwa mabilioni halafu wanatelekeza nyumba wanakwenda kupanga vijumba Kijitonyama ili wawe karibu na mjini... what was the point of building ?Ni kweli mkuu ila nyumba iko vzr sana na mbweni Jkt kwa sasa inaendelea kujengekeka kuliko ata mbezi beach nk
Mkuu mbweni Jkt viwanja vimepanda bei sana. Kwa hii ofa yako tunaweza kuangalia maeneo mengine. Karibu sanaHivi uko mbweni JKt kuna kiwanja cha walau 30M mtu anaweza kupata? Au vyotw ni kuanzia 100+M?
Pitia saivi uione mbweni mkuu halafu utakuja hapa tuendeleze mjadalahata kujengeke vp huwezi kulinganisha Mbezi Beach na Mbweni JKT.... Mbezi ni karibu na city center.... Huko Mbweni watu wanajenga kwa mabilioni halafu wanatelekeza nyumba wanakwenda kupanga vijumba Kijitonyama ili wawe karibu na mjini... what was the point of building ?
Naam mkuu
Pitia saivi uione mbweni mkuu halafu utakuja hapa tuendeleze mjadala
Hehehe mimi nina X mkuu
Sawa mkuu nakuelewaMkuu sidhani kama jamaa amepinga wazo lako. Point yake kubwa ni kwamba huwezi kulinganisha mbezi beach na Mbweni. Kwa sasa Mbweni inakua haraka na ina nyumba nzuri kweli kweli. Lakini kwa maisha yetu haya ya kutegemea ajira, huwezi mshauri mtu aishi mbweni na afanye kazi mjini/city center. Unless iwe nyumba yake amejenga. Na kiuhalisia mtu mwenye uwezo wa kupanga nyumba ya 1M-1.5M Mbweni huyo hata Mbezi beach nyumba ya 2M anaweza afford.
Kwa ujumla mbweni ni pazuri kama mjengo ni wa kwako. ila kwa kupanga..maybe uwe mfanya biashara au ana mishe zako.
Ila changamoto kubwa kwa sasa Mbezi beach rent hazishikiki kabisa! Nyumba ya 1M au 1.5M ni nyumba ya kawaida sana.
Mkuu mbweni Jkt viwanja vimepanda bei sana. Kwa hii ofa yako tunaweza kuangalia maeneo mengine. Karibu sana
Bunju,Mapinga, Mabwepande, Kilomo, Goba au KigamboniKama yapi?