mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,019
- 1,946
Mkuu simu yako haioneshi uzio?Hiyo nyumba ingekuwa na uzio ingekuwa safi sana ili mpangaji anapate pa kulazia kagali kake
Uzio upo mkuu na geti. KaribuHiyo nyumba ingekuwa na uzio ingekuwa safi sana ili mpangaji anapate pa kulazia kagali kake
Atakuwa hajaangalia vizrMkuu simu yako haioneshi uzio?
Dear ex hii ingekuwa yetu sema tumeachana
ππ tuichuke tulee mtoto wetuπ€°πΎNdio baba kijacho
Tutapigwa ban mda si mrefu π€·πΌββοΈππ tuichuke tulee mtoto wetu
Hujui kiongozi wa moderator wote ni mimi, wanajua mipango yetu sasa ? Nyumba lazima tukubaliane kama inafaa au haifai π πTutapigwa ban mda si mrefu π€·πΌββοΈ
Karibu sana mkuu
Inafaa baba kijacho wanguHujui kiongozi wa moderator wote ni mimi, wanajua mipango yetu sasa ? Nyumba lazima tukubaliane kama inafaa au haifai π π
Tutajadili hili tumcheki dalali ππInafaa baba kijacho wangu
Ila sasa una mtoto wangu, tufanye utaratibu mtoto tumtunze pamoja akikuaa tutaachana sasa official kama nyumba nzuri tufanye namna π πDear ex hii ingekuwa yetu sema tumeachana