Tunauza magari kwa mkopo nafuu

Tunauza magari kwa mkopo nafuu

Mkuu gari ipo lakini pia kama unaona shida kunitafuta kwa namba ya simu nmetoa unaweza fika ofisini kwetu nmetoa location hapo kwenye tangazo au kama pia utakosa imani basi hachana nayo tu tafuta option nyingine utaona kwako inakupa amani.
weka details za percentage ya riba hata kwa 20 makes vinginevyo kuna unaloogopa kuliweka wazi hapa jukwaani!?
 
🚗 MILIKI GARI YA NDOTO YAKO LEO!
Kupitia LOLC TANZANIA (Financial Services)

🔹 Magari mapya na yaliyotumika kutoka ndani na nje ya nchi
🔹 Marejesho nafuu hadi miezi 24
🔹 Mkopo wa hadi 65% ya gharama ya gari
🔹 Mkopo unaidhinishwa ndani ya saa 72
🔹 Riba ni ya kiwango cha chini kabisa
🔹 Huduma ni Haraka, Rahisi na hadi mlangoni kwako!

💥 Usikose fursa hii ya kipekee miliki gari unalolitamani kwa masharti mepesi kabisa!

📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi:
📲 0653 796 351

LOLC TANZANIA – Tunakufanikishia ndoto zako za kumiliki gari kwa urahisi!
#MagariKwaMkopo #LOLCFinancialServices
Itaje hiyo riba badala ya kumsema ni mafuu, tuambue asilimia ili tuambue wenyewe kama NI nafuu au wizi
 

Attachments

  • Screenshot_20250622-214719.png
    Screenshot_20250622-214719.png
    308.8 KB · Views: 22
weka details za percentage ya riba hata kwa 20 makes vinginevyo kuna unaloogopa kuliweka wazi hapa jukwaani!calc

weka details za percentage ya riba hata kwa 20 makes vinginevyo kuna unaloogopa kuliweka wazi hapa jukwaani!?
Calculation utafanyiwa baada ya kujua unataka gari gani na mkopo utalipa kwa muda gani hayo yote yatafanyika baada ya kujua mteja anahitaji nn ndo maana kuna mawasiliano kama hauko huru hacha tu mkuu option unazo nyingi fata kitakachokupa amani.
 
Itaje hiyo riba badala ya kumsema ni mafuu, tuambue asilimia ili tuambue wenyewe kama NI nafuu au wizi
Mkuu Kuna mawasiliano kama unaona wizi hachana nayo una uhuru wako wa kuamua utakacho me nimetangaza biashara nmefanya sehemu yangu kuamini au kutokuamini ni juu yako
 
Back
Top Bottom