Salmaally issa
New Member
- Dec 27, 2020
- 2
- 1
Hiyo inaitwa kangomba lamba uende Mtwara kwenyewe nasikia sasahivi ni Tsh 2,000/= kwa kilo mojaHabari, korosho ambazo hazijabanguliw zinapatikana? Shngap kwa kilo moja?
Thanks.
Shukurani mkuuHiyo inaitwa kangomba lamba uende Mtwara kwenyewe nasikia sasahivi ni Tsh 2,000/= kwa kilo moja
Zinapendeza na zina hamasisha kula; sasa hizi ni za msimu huu au ni za msimu uliopita? Halafu hivyo vipimo ni kwa zile nzima nzima tu au ni mchanganyiko na vipande vipande? Fafanua tutoe oda!Habari zenu wapendwa nauza korosho za kuokwa na mbichi kutoka mtwara
1kg 20000
1/2kg 10000
1/3kg 5000
Tupo Dar es salaam .kimara baruti
Delivery ipo kila ijumaa kwa gharama ya 2000 tu,mkoani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana
Kwa anaeitaji apige simu 0710791727
Karibuni sana View attachment 1921207
Kwani wewe hutoi Mtwara?Hiyo inaitwa kangomba lamba uende Mtwara kwenyewe nasikia sasahivi ni Tsh 2,000/= kwa kilo moja
Id mbili tofautiKwani wewe hutoi Mtwara?
Jibu swali uliko ulizwa. Unashangaa kuona mtu ana ID mbili tofauti?Id mbili tofauti
Dah 2000 kwa kilo ni kubeti kama mnada haujatoka,kama mnada tayari sio mbayaHiyo inaitwa kangomba lamba uende Mtwara kwenyewe nasikia sasahivi ni Tsh 2,000/= kwa kilo moja
Dah 2000 kwa kilo ni kubeti kama mnada haujatoka,kama mnada tayari sio mbayaHiyo inaitwa kangomba lamba uende Mtwara kwenyewe nasikia sasahivi ni Tsh 2,000/= kwa kilo moja
Mi niko Dar mkuu na wala sio muuzaji ila nafatilia kwa karibu sana cos nikitaka kuchukuq mzigo ila nimesita kutokana na bei! Lakini mnada bado kulingana na vyanzo vyangu vya habariDah 2000 kwa kilo ni kubeti kama mnada haujatoka,kama mnada tayari sio mbaya
Mtwara mnada bei gani kwa kilo ?