Mungu ni Mungu mshika maagano na sheria lkn ni mwepesi sana kusamehe kuliko mungu mwingne yyt ulimwengu huu, uliza wanaotumikia miungu mingne watakwambia.
.
Hoja yako ni dhaifu sana kwasabab hao watu wote unasema Mungu aliwaua sio Mungu alowauwa, walikufa kwa sababu ya wao kuchagua kumtumkia shetani na kumpa shetani maisha yao hiyo ipo mpka leo je ni watu wangap wanakufa leo kwa sababu ya kumtumikia shetani kwenye pombe, uzinzi, wizi, kafara, ugomvi N.K
.
Soma vzr biblia yako mwanzk mpka ufunuo hakuna aliye mwenye haki mbele za Mungu na akaachwa na Mungu..