Tunatoa maadili kwenye Biblia

Hayo yote uliyoyasema kwenye Quran yapo,mbona hujaitaja au unaogopa waislam?
Hujalazimishwa kufuata Biblia,fuata unachoona ni sahihi kwako,Biblia tuachie sisi tusio na akili.
Mungu wetu Alishawapa ni Ada my uhuru wa kuchagua toka alipomuumba.
 
Umesoma Biblia na kuielewa ili ikusaidie?au umesoma kwa lengo la kukashifu na kushindana?hakuna kitabu kilichokamilika na chenye uhakika wa maisha ya umilele kama Bible,..Yesu amesema waz "Mimi njia kweli na Uzima"mtu hawez kumuona Mungu Bila yeye,tafuta kitabu ambacho anayetakiwa kufuata kajitamka wazi kama Biblia.
 
Kitabu Cha Sayansi Cha la 5 kina makosa machache kuliko Biblia.
 
Hayo yote uliyoyasema kwenye Quran yapo,mbona hujaitaja au unaogopa waislam?
Hujalazimishwa kufuata Biblia,fuata unachoona ni sahihi kwako,Biblia tuachie sisi tusio na akili.
Mungu wetu Alishawapa ni Ada my uhuru wa kuchagua toka alipomuumba.
Hata Quran nayo Ina makosa nitayasema pia kwenye thread tofauti.
 
Hao unaosema alowauwa bila hatia hawakutenda dhambi???
Watoto wachanga walikufa kwenye mafuriko walitenda dhambi gani. First born wote Misri walikuwa na dhambi gani. Sisi tunakosa gani mpaka tunapitia mateso kisa Eve kula tunda. Mtu ambae sio mkristo ana haki gani ya kuunguzwa milele. Niendelee au niache. Mtoto wa Daudi ana haki gani kufa. Watoto wa Ayubu Wana haki gani kufa. Watoto waliomcheka Joshua kipara wanahaki gani kuuliwa na wanyama. Hebu acheni bana.
 
Mungu ni Mungu mshika maagano na sheria lkn ni mwepesi sana kusamehe kuliko mungu mwingne yyt ulimwengu huu, uliza wanaotumikia miungu mingne watakwambia.
.
Hoja yako ni dhaifu sana kwasabab hao watu wote unasema Mungu aliwaua sio Mungu alowauwa, walikufa kwa sababu ya wao kuchagua kumtumkia shetani na kumpa shetani maisha yao hiyo ipo mpka leo je ni watu wangap wanakufa leo kwa sababu ya kumtumikia shetani kwenye pombe, uzinzi, wizi, kafara, ugomvi N.K
.
Soma vzr biblia yako mwanzk mpka ufunuo hakuna aliye mwenye haki mbele za Mungu na akaachwa na Mungu..
Wewe ndio urudi ukasome vizuri.

Katika agano la kale Mungu kizazi chake "wana wa Israeli", amefanya maajabu makubwa ikiwemo kuua ili mradi kuwalinda taifa lake.
Mtoa mada yuko sahihi
 
Back
Top Bottom