Tunatoa kozi za uhasibu na ununuzi

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
113
225
JE UNA MTOTO/NDUGU yako aliyefeli kidato cha nne/sita?
KP Professional Services(KPS) kwa kushirikiana na bodi ya uhasibu (NBAA) pamoja na bodi ya ununuzi (PSPTB) tunafundisha courses za uhasibu na manunuzi kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi kuwa Certified Public Accountant(CPA) au Certified Procurement and Supplies Professional (CPSP)
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu mnazi mmoja au wasiliana nasi kwa 0686996320 au 0713290208 au 0755829991
KARIBU SANA
 
Depretty

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
240
225
Ningependa kujua gharama zake zinakuwaje na jinsi ya mafunzo yananvyoendeshwa..elimu form 4..Nina D4...kozi nayoitaji Cps...nimeuliza hapa ili wengne nao wapate kujua
 
beal

Senior Member
Dec 30, 2012
113
225
Ningependa kujua gharama zake zinakuwaje na jinsi ya mafunzo yananvyoendeshwa..elimu form 4..Nina D4...kozi nayoitaji Cps...nimeuliza hapa ili wengne nao wapate kujua
Ada ya review classes kituoni kwetu ni Tsh 410,000 kwa foundation stage, 710,000 kwa intermediate stage na 490,000 kwa final stage.
 
Depretty

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
240
225
Ada ya review classes kituoni kwetu ni Tsh 410,000 kwa foundation stage, 710,000 kwa intermediate stage na 490,000 kwa final stage.
Naomba ufafanunue zaid kwwnye hzo stages ndo zinakuwaje!!...yaan no sawa na certificate'dip etc!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom