Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Hilo suala ni maamuzi yako tu mkuu maana kuna mawili inawezekana mkondo uliopo kwa jirani yako kwako haupo au upo. Hivyo ukisema njooni mnichimbie twaja kufanya kazi.

Ingawaje kama hutojali ukipima unakuwa na uhakika na bajeti yako ... Tofauti na usipopima maana yake maji yatakapopatikana ndio hapo hapo
 
Ikitokea umepima upatikanaji wa maji ukawa labda ni mita 40. Kweli maji yamepatikana ya kutosha. Endapo maji yale kabla ya kuanza kuyatumia tukapeleka sampuli kwenye Maabara ya Maji kuyapima. Majibu tukapewa kuwa yale maji siyo salama. Hapo malipo yanakuaje?? Je kama tukishauriwa kwenda chini zaidi kufikia mita 60 gharama itaongezeka au itabakia ile ile ya awali ya mita 40??
 
Swala la ubora wa maji huwa ni suala ambalo linakuwa gumu kumuwajibisha mchimbaji maana hana hatia. Kuhusu kuongezeka kina kutokana na ulazima wa kitaalamu maana yake hapo mteja atahesabiwa ongezeko la mita na kuongeza gharama.

Hii inatokana kwamba kunakuwa na makubaliano ya urefu wa kisima utakaochimbwa kabla ya mteja kuchimbiwa. Hivyo ongezeko lolote pia gharama huongezeka
 
mnao uwezo wa kugundua aina ya maji kabla ya kuchimba?!
ie chumvi,magadi ?
Hakuna kipimo hapa kwetu nchini kinachoonesha dhahiri kiasi cha chumvi (madini) yaliyopo kwenye maji. Mtu akikuambia hvo ujue anadanganya nawe pia usikubali kudanganyika.

Ingawa kuna baadhi ya watu hupenda taarifa zinazovutia hata kama hazina ukweli.

Kiasi chumvi/madini kwenye maji huonekana baada ya maji kupatikana.
 
Endelea pia kufuatilia ukurasa wetu fb ili kujipatia taarifa mbalimbali na matukio mbali yanahusiana na huduma ya kisima
Screenshot_20210210-235837.jpg
 
Kazi inaendelea , jipatie kisima cha maji kwa shughuli zako za ufugaji, kilimo, matumizi ya nyumbani na bishara. Karibu.

Tuendelee kuchukua tahadhari, CORONA inaua
 
Kwanini shamba lako litoe mavuno kiduchu? Karibu tukuchimbie kisima kwa ajili ya ustawi wa kipato chako.
Tunakufikia popote ulipo.

Karibu, ... 0682276767
 
USIHOFU: mvua zinaanza kupungua njia zinaanza kupitika ili tufike site kwako. Karibu tukuchimbie kisima kwa maji ya uhakika ... Maswali au maelezo karibu.

Simu: 0682276767
 
Masika inaelekea ukingoni hivyo njia kuanza kupitisha mitambo ya kuchimba visima. Karibu tukuchimbie kisima kwa maji ya uhakika
 
Kumekucha: masika ndio hiyoo imeisha, karibu tukuchimbie kisima kwa gharama nafuu. Tunapima upatikanaji wa maji, tunachimba visima virefu, tunafunga pump na kusafisha visima. Karibu uhudumiwe
 
Nimewahi kusikia kwamba Siyo sahihi kuchimba kisima kipindi cha mvua ama muda mfupi baada ya mvua kukatika. Kwamba unaweza kupata maji Yale ya mvua na baada ya muda yanaisha.

Je kuna ukweli juu ya hili?
 
Hamna ukweli, maji ya kisima yanayochimbwa ni tofauti kabisa na ya mvua.

Ipo hivi uviaji wa maji wa mvua ni mdogo saana, lakin maji ya mkondo halisi huwa yana spidi saana. Hili huthibitishwa na pump testing.

Lakin pia pamoja kuwa ni masika unapochimba bado kuna sehemu utakutana na vumbi la kufa mtu.

Mvua haiwez kuzidi mita 30 kwenda chini.

Kikubwa ni kwamba haishauriwi kufanya survey ya upatikanaji wa endapo kuna matope maana zile chuma hazitashika vizuri.

Karibu kwa maswali zaidi na ufafanuzi
 
Back
Top Bottom