Tunatoa huduma za kukusanya madeni

Mzuri sana, hakuna vulugu ni soft Collection and Litigation. Hatuna mambo mengi
Na maanisha tunalipanaje mimi na.nyie
2.nawaonyesha tu mdeni mnaaza kazi au kuna taratibu
3. Akigoma kbsa kulipa eitha kwa kutaka ama kutotaka mtachukua hatua gani
4.mpo tanzania nzima au dar tu
 
Na maanisha tunalipanaje mimi na.nyie
2.nawaonyesha tu mdeni mnaaza kazi au kuna taratibu
3. Akigoma kbsa kulipa eitha kwa kutaka ama kutotaka mtachukua hatua gani
4.mpo tanzania nzima au dar tu
Maswali ya msingi sana haya maana mkimfuata kienyeji mdaiwa sugu anaweza kuwageukia na kusema mlivamia mkamsababishia upotevu wa assets zake zenye thamani ya milioni 10 na baadae deni linageuka linarudi kwenu.
 
Una madeni yako sugu ungependwa yakusanywe na Kampuni ya uhakika ya kukusanya madeni?

Una Madeni yanakusumbua na ushahidi wa deni na ungependa kuliuza kwa kupewa cash?

Chàgua moja wapo kati ya hayo kisha njoo tuzungumze!
 
Kama Kampuni ya kukusanya madeni na mikopo tungependa kupata kijana jasiri na mkakamavu wa kukusanya madeni.

Malipo ni kwa kamisheni tutakayokubaliana

Awe mwaminifu.

Awe anapatikana Arusha,maana kazi iko Arusha.

Aliye tayari anaweza kucheck na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…