Tunatoa huduma ya Printing

Tunatoa huduma ya Printing

bagain

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
363
Reaction score
229
Ndugu mwana JF,

Tunatoa huduma za Digital Printing kwa vitu mbalimbali kama

~Vipeperushi
~business cards
~labels
~ID cards, kadi za harusi
~na documents mbalimbali.

Quality ya kazi ni nzuri, utahudumiwa vizuri kwa bei nafuu kutegemeana na idadi ya pages unazoprint.

Tunapatikana Kariakoo makutano ya mtaa wa Ndanda na Magila.

Kwa walioko mikoani unaweza kutuma kazi yako kisha tukaprint na kukutumia kwa njia ya basi. (Hapa vigezo na masharti kuzingatiwa)

Kwa mawasiliano zaidi nakukaribisha PM au unaweza tumia simu 0762182398.

Karibu.
 
Ku print sticker ktk karatasi ya A4 vitoke visticker 15 ni Tsh ngapi ktk @A4
 
Nipe bei OG hiyo offer ya mpito tuu nataka tufanye biashara endelevu mkuu! Ni Mp namba yako

Karibu uanze kufaidika na hii offer, pia itakuwa muda mzuri kujadili huduma endelevu.

Karibu sana.

Namba yetu 0762182398
 
Karibu upate huduma za Digital Printing zenye Quality ya Juu kabisa
sample.PNG


Labels za bidhaa (stickers) ---- ** Tsh. 500/=** kwa A4 sticker
Business cards
Vitambulisho (ID Cards)
Posters A4/A3 za matangazo
Vipeperushi
Brochures A4/A3
N.k

Quality ya printing ni nzuri sana na huduma zetu kwa wateja utafurahia.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda/Magila. Contacts 0762182398
 
Niprintie bango la mpesa tgo pesa na airtel money
 
labels.jpg


Labels za bidhaa (stickers) ---- ** Tsh. 500/=** kwa A4 sticker
Business cards
Vitambulisho (ID Cards)
Posters A4/A3 za matangazo
Vipeperushi
Brochures A4/A3
N.k

Quality ya printing ni nzuri sana na huduma zetu kwa wateja utafurahia.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda/Magila. Contacts 0762182398
 
Labels za bidhaa (stickers) ---- ** Tsh. 500/=** kwa A4 sticker
Business cards
Vitambulisho (ID Cards)
Posters A4/A3 za matangazo
Vipeperushi
Brochures A4/A3
N.k

Quality ya printing ni nzuri sana na huduma zetu kwa wateja utafurahia.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda/Magila. Contacts 0762182398
 
vic branding.PNG


Karibu tukufanyie branding ya Ofisi yako, biashara yako, mabango, labels n.k
 
OFA OFA OFA OFA
Wahi sasa mapema.

Label(Sticker) PRINTING kwa A4 Tsh 500/= tu. High quality, good customer service.
karibu sana.
Tunapatikana 0762 182398
 
Branding ya ofisi bei gani tangazo kubwa

Bei unapewa baada ya kujua size ya eneo linalotakiwa, aina ya material(mfano sticker ambazo ukiwa ndani mchana unakuwa na uwezo wa kuona ndani, usiku ndani kukiwa na taa mtu wa nje anaona wa ndani huoni nje AU sticker ambazo ukiwa ndani huoni nje muda wote AU transparent sticker)

Karibu sana ofisini tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom