Tunatoa Bima za Mapenzi

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,188
7,490
Kutokana na kila siku kukabiliana na visa vya watu kuumizana vibaya kwenye mapenzi, tumeamua kuanzisha utaratibu wa kutoa bima za mapenzi kwa wanaohitaji ili kuwasaidia pindi wanapokuwa wahanga. Mnakaribishwa sana kujiunga..
 
safi sana
 
toa maelezo basi itakuwa ina cover vipi if bebi umemkuta guest na ulikuwa umekatia bima kubwa
Ofisi itahakikisha unapewa huduma mbadala inayolingana na bima yako, ukitoka hapo frustration zote zimeisha, mwepesi kabisa. Hata kama ulikusudia kumaliza mtu, utarudi home unatabasamu tu.
 
Hii safi sana nilikua nawaaulizaga awa mawakala wa bima kua awana iyo huduma kama kweli anzisha
 
Ubunifu. Hongera. Utawapata wengi.

Ungeanzisha na bima za ndoa kabisa.
 
Back
Top Bottom