Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Huyu Magufuli anagusa maisha ya watu
Kumbe leo upo shift ya usiku!
Tatizo la Kilosa wamechagua Mbunge kwa jazba 🤣Hapo umevuruga
Tatizo la Kilosa wamechagua Mbunge kwa jazba [emoji1787]
Akitoka hapo ni mizinga kwa kwenda mbele
Ova
Wagogo bhana [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
aibu niliona mimi 🤣Jaziba ilikuwa mikumi
aibu niliona mimi [emoji1787]
Mataga sio JPM kaipeleka Tz kufika uchumi wa kati bali Bank ya Dunia imeshusha vigezo vya kuitwa uchumi wa kati.Tunakwenda vizuri jana Jpm kaipeleka Tanzania uchumi wa kati, USA ajipange
Mataga sio JPM kaipeleka Tz kufika uchumi wa kati bali Bank ya Dunia imeshusha vigezo vya kuitwa uchumi wa kati.
Duh,ukimwangalia huyo anayesifia unabakia kumuonea huruma tu
Duh,ukimwangalia huyo anayesifia unabakia kumuonea huruma tu