Tunatengeza android applications

Jahace

Senior Member
Apr 5, 2013
101
5
Habari wanajamvi napenda kuwakaribisha wote wanaohitaji android app kwa ajili ya kampuni,biashara au kwa mahitaji binafsi.
Tunatengeneza app ambazo ni:
1. simple & Clean Interface - muonekano mzuri na wa kuvutia.
1.png

2. Complex & Logical design - app yenye uwezo wa kufanya hesabu au maamuzi kutokana na taarifa husika.
3. MYSQL database driven App - hii ni kwa ajili ya kuhifadhi taarifa kwa ajili ya app.
pia application itakua na
Web Admin Panel - kwa ajili ya kuandaa, kurekebisha au kufuta taarifa ya app yako.
122.png


screenshoots ya apps
2.png


3.png

4.png


5.png

App inatengenzwa kuanzia mwanzo(from scratch) kutokana na mahitaji yako
Bei : bei ni nafuu ila pia hutokana na mahitaji yako.
0764-839696
prnctz@gmail.com
karibuni sana
 
Asante Sana.. Nahitaji social network app bei vipi.. Kwa faida ya wengine ingawa nitaku cheki pia kwenye mawasiliano yako
 
Asante Sana.. Nahitaji social network app bei vipi.. Kwa faida ya wengine ingawa nitaku cheki pia kwenye mawasiliano yako
ni vigumu kukutajia bei kamili kwa sababu hatujui hiyo social network unayohitaji itakua na modules/functions gani.
 
mkuu nataka kutrngenezewa app ya kuuza na kununua vitu Online. napata kwaa bei gani???
 
mnaweza kunitengezea app ya online TV live za afrika mashariki?

kama jibu ni ndio niambieni bei pm
 
Mkuu kwa sasa hatujaweka app yoyote playstore ila bei itakua around $400 kutokana na requirements zako. Karibu
mnajua tu kusema $400 hata wewe nikikuomba Huna Mkuu Rudi Ujipange kwanza ndio uje utangaze biashara yako huwezi kazi wewe
 
mnajua tu kusema $400 hata wewe nikikuomba Huna Mkuu Rudi Ujipange kwanza ndio uje utangaze biashara yako huwezi kazi wewe
we ulitaka tuseme $0,nilichogundua uko mtandaoni kupiga majungu tu hamna la maana unafanya zaidi ya kutaka kuomba hela bila kufanya kazi na kudhani siwezi kua na $400. you are so NEGATIVE
if you think education is expensive try ignorance
 
Back
Top Bottom