Tunatengeneza website na online radio kwa gharama nafuu kabisa

neno ni upanga

JF-Expert Member
Jun 28, 2022
210
755
Habari wakuu!!
Kwa wale wenye uhitaji wa kutengeneza website kwa ajili biashara pamoja na online radio karibu sana , tunatengeneza kwa ubora kabisa unaotaka!!
Huu ni mfano wa website pamoja na online radio yake ambayo tunakutengenezea lakini pia tunalink na radio kubwa kwa ajili ya matangazo kama vile BBC, DW nk

www.testimonygospelradio.com
 
Hivi kumbe kuna uwezekano wa kufungua online radio bila ya kuwa na physical radio station?
Vigezo na masharti yakoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom