Tunatengeneza vibanda za kisasa vya biashara

Attachments

  • images (3) (1).jpeg
    images (3) (1).jpeg
    32.3 KB · Views: 18
  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    33.9 KB · Views: 16
Hizi sio za level zetu wa mtaji wa Laki tano
Vipo ad vya laki 5 boss.. sema utofauti ni material tu yanayotumika .. Kuna mbao kupigwa rangi ila itaathitika na maji na kuoza badae na Kuna kuweka stika haingii maji haichafuki unafuta tu..

Karbu boss wangu tutakutengenezea kutokana na bajeti yako
 
Ahaa hapo sawa mkuu. Cha laki tano kinakuwa n dimension kiasi gani
 
Back
Top Bottom