naibrock mkuu watu wanatumika kutukana watu kwa namba za simu zao itakua hiyo ya kuhack tu ndugu yangu poteza mda wako usome mambo ya hack utagundua mambo mengi sana kuanzia luku utatumia bure, vocha na nk kuna siri nzito sana ukiijua utaenjoy
kuna siku niliwahi kutoa siri hapa jinsi ya kuangalia startime bure watu wakawa wanaangalia bure ila nilipata matatizo sana mpaka sasa najuta sitoi tena ila kuna mambo mazuri sana kwenye hacking unapiga hadi hela kwenye atm lakini pesa kidogo ndio hawawezi kujua