Rigid furniture
Member
- Apr 9, 2020
- 95
- 5
- Thread starter
- #61
Boss wangu picha zipo angalia zote utaziona au tembelea kwenye ukurasa wetu wa instagram (rigid furniture tz)kwa picha na video zaid ila kila kilichopostiwa kwenye akaunt zetu zote hizo zipo chini ya uwezo wetu ,yaan tunaweza kuzitengeneza kwa asilimia 100% .Asante kwa kukujibuMkuu picha umezipakua wapi?
Weka picha za kazi ulizowahi kuzifanya.