Tunatengeneza kwa order na kuuza fenicha

Tunatengeneza kwa order na kuuza fenicha

Utalipata kwa bei ya Tsh mil 2600,000 _____0758006014
IMG-20200411-WA0048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante boss wangu na samahani sana kwa kuchelewa kukujibu Vitanda vya watoto vipo tifauti na vinategemeana na bei ila vinaanzia lak 3 na 50 hadi laki 4 na 70 asante kwa kukujibu ,ila kwa mawasiliano zaidi nakuomba chukua namb yangu 0758006014 ili nikutumie aina tofauti au tembelea kweny account zetu za insta(rigid furniture tz)kwa bidhaa zaid karibu sana boss wangu
Kitanda cha mtoto sh.ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan sana boss wangu kwa kuchelewa kukujibu sofa hizo zipo tofauti tofaut na bei pia tofaut kulingana na aina ya sofa na kitambaa kilichotumika ,nakuomba uwasiliane nasi whatsp 0758006014 ili nikutumie aina hizo au tembelea kwenye kurasa zetu za insta(rigid furniture tz)kwa kuangalia bidhaa zaid ,asante kwa kukujibu boss wangu
Hawez taja bei hapa,

Huyo dalali anataka apige chake cha juu[emoji23]


Akitaja unitag[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom