The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,146
- 22,106
Mbona bila VPN inagonga mzigo fresh tuMambo ni mengi mda ni mchache twende kazi
Mmepewa time Ili mjue kuwa pamefungwa,Mbona bila VPN inagonga mzigo fresh tu
Lakini kwa VPN tunateleza kama kawa. Hii sio mara ya kwanza kufungiwa kwa JF. Hata kipindi cha mtukufu jiwe ilitokea hilo tena kipindi cha uchaguzi kama hiki.Mmepewa time Ili mjue kuwa pamefungwa,
J3 waeza zima rasmi.
Mmh kumbe nikajua ndo tumeisha😀Lakini kwa VPN tunateleza kama kawa. Hii sio mara ya kwanza kufungiwa kwa JF. Hata kipindi cha mtukufu jiwe ilitokea hilo tena kipindi cha uchaguzi kama hiki.
Ni kweli kwa vpn inakubali
InakubaliNi kweli kwa vpn inakubali
Kwangu bila vpn inakataaBila hata vpn inapasua anga bado.
Kwangu bila vpn inakataaBila hata vpn inapasua anga bado.
Hili jukwaa sio kama blog ya Manara au App ya Simba. Kila kitu kimesajiliwa nje ya nchi mkuu. Tutaendelea kupeta na JF yetu.Mmh kumbe nikajua ndo tumeisha😀