Tunatangaza Kipindupindu kama vile ni kitu cha kujivunia

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,214
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia mijengo.

feae69459434447ea5ac7160f341af6f_418189390_18410259967057742_4236921921744304870_n.jpg
images (33).jpeg
 
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia mijengo.
KIPINDUPINDU ni dili Wizarani. Per diems za kuanzisha kambi maalum ya wagonjwa wa KIPINDUPINDU
 
Kipindupindu kinasababishwa na uchafu. Hivyo viongozi wa serikali na jamii yote kwa ujumla tunatakiwa kuzingatia kanuni za usafi.
 
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia mijengo.

View attachment 2870032View attachment 2870035
Tatizo ni hicho choo ulicho post kilichopo ikulu kipo kwa ajili ya kunyea tu nchi inazama
 
  • Thanks
Reactions: xox
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia mijengo.

View attachment 2870032View attachment 2870035
Wakati wewe ukiona mazingira hayo ni machafu wapo wanaovutiwa na hali hiyo ya uchafu na wanaamini uchafu ni chanzo cha utajiri.
 
Kwakuliona hilo ndio maana wapiganaji wetu watafanya usafi mkoa mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom