ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
kweli nccr kuna demokrasia,yaani umeenda tu nakupewa cheo, nadhani watakuruhusu pia ugombee urais kupitia nccr 2015.kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.