Tunataka Ndugai ajiuzulu

Mkuu umeona mbali sana, hii mihimili miwili inasaidiana ktk maswala yao ya ushetani
 
Naunga mkono hoja, ni lazima Spika Ndugai ajiuzulu, kwa hiyari au kwa lazima
 
Mkuu umeona mbali sana, hii mihimili miwili inasaidiana ktk maswala yao ya ushetani
Hapa ni Mambo ya Don Coleone katika The Godfather kichoandikwa na Mario Puzzo, akimuomba mtu mmoja alieomba na kupewa favour miaka ya nyuma amzikie mwanae usiku wa manane.Maanake ukila vya watu nawe lazima uliwe.
Kama mihimili hiyo ingeweza kujua kuwa haiko pale kusaidiana bali kufa kazi kama katiba ilivyo wala haya malumbano yanayoendelea yasingekuwepo.
 
Ni jambo ka kushangaza sana kwa mtu kama Ndugai ameng'ang'ania wadhifa huo wa uspika,mzee kaa pembeni muda wako wa kukandamiza haki za watanzania umekwisha.Nenda baba nenda,huhitajiki kabisa pamoja na kutumika kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naunga mkono hoja aondolewe, ameliabisha bunge na amewafedhehesha Watanzania
 
Njooni muchukue kibali kama mnataka kuandamana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…