ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,175
Azabu tunayopata wafanyabiashara ndogondogo
Leo hakuna Lori linakubali kupakia pasel eti kuna tra wana dai mashine
Samaki zinaoza
Mazao yanadoda
Vifaa dukani tunauza hakuna..
Kisa ...........,..,
Leo hakuna Lori linakubali kupakia pasel eti kuna tra wana dai mashine
Samaki zinaoza
Mazao yanadoda
Vifaa dukani tunauza hakuna..
Kisa ...........,..,