A
Anonymous
Guest
Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi.
Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana, kipindi hicho nimebakiza chapter 5 na 6 nikajua nishamaliza na mwaka huu nitakua nahangaika na mambo mengine kabisa, ila huwezi amini tokea huo mwezi wa sita nilianzwa kuzungushwa bila sababu na nikaambiwa kama nataka kuabdilisha superviosor inabidi nianze upya na kuanza upya kwa open maana yake una mwaka mwingine mmoja wa kuzungushwa bila ya sababau ya msingi.
Nimevumilia mwaka jana umepita nikajua mwaka huu nitasikilizwa ila shida zimekuwa bado vile vile.
Kitu msichojua wengine hatuna ajira kabisa, hatuko hapo kwa ajili ya kuzuga au kuongeza vyeo mnapotuzungusha zungusha mnazidi kutuharibia plan zetu za mwaka.
Imagine nimebakiza chapter 2 tu tokea mwaka jana mwezi wa 6 mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachofanyika ingawa nimekuwa mtu wa juhudi sana kufuatilia hili jambo, hapa inavyoonekana inabidi nisubirishwe mpaka mwezi wa 12.
Imagine huu mwaka si ningekuwa napiga intership sehemu fulani au najitafutia maisha.
Mimi yangu ni hayo tu, naomba uongozi wa Jamiiforums walifuatilie hili pia haiwezekani tunarudishana nyuma hivi hivi bila sababu zozote.