Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi)
Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe tayari kufanya kazi kwa wakati.
Majukumu Yako:
Kurecord na kuhariri video zenye ubora kwa mitandao ya kijamii
Kupanga ratiba ya maudhui (content calendar) kila wiki
Kutengeneza na kuchapisha maudhui kwenye Instagram & TikTok
Kuleta ideas mpya na kuendana na trending content
Kufuata performance ya video (engagement, views, etc.)
Tunatafuta mtu mwenye:
Uzoefu na tools kama Adobe Premiere, CapCut, au Davinci Resolve
Ubunifu wa hali ya juu na macho ya kuona content nzuri
Uwezo wa kufanya kazi mwenyewe na pia kwenye team
Ufahamu wa trends na algorithm za mitandao ya kijamii