innongailojr
New Member
- Aug 9, 2019
- 1
- 0
TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator
Location: Mwenge,Dar es salaam
Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi)Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe tayari kufanya kazi kwa wakati.
Majukumu Yako:
- Kurecord na kuhariri video zenye ubora kwa mitandao ya kijamii
- Kupanga ratiba ya maudhui (content calendar) kila wiki
- Kutengeneza na kuchapisha maudhui kwenye Instagram & TikTok
- Kuleta ideas mpya na kuendana na trending content
- Kufuata performance ya video (engagement, views, etc.)
Tunatafuta mtu mwenye:
- Uzoefu na tools kama Adobe Premiere, CapCut, au Davinci Resolve
- Ubunifu wa hali ya juu na macho ya kuona content nzuri
- Uwezo wa kufanya kazi mwenyewe na pia kwenye team
- Ufahamu wa trends na algorithm za mitandao ya kijamii
✅ Mshahara: Tsh 400,000 + bonus (kutegemea kazi yako)
🕒 Probation: 2 weeks
📩 Tuma CV na kazi ulizowahi kufanya (portfolio) si lazima uwe na degree, tunataka kazi iongee
:Whatsapp 0628239941