Tunatafuta ndugu zake

Tunatafuta ndugu zake

Joined
Apr 15, 2025
Posts
91
Reaction score
174
IMG-20260317-WA0021.jpg
 
Taarifa mbona haijakamilika?
Anaitwa nani huyo mgonjwa,
Anaishi wapi,
Kama ametengemaa nilitegemea awe ametoa na hizo taarifa muhimu.
Umesoma kwa kituo. Jamaa alipata majeraha KICHWANI HIVYO KWA SASA ANA MEMORY LOSS.

kapoteza kumbukumbu hivyo KUWEZA kukumbuka ita mchukua muda KUWEZA kupata kumbukumbu again.

Mwenyezi Mungu atutangulie sana kwenye haya maisha hatuzijui kesho zetuu.
 
daktari mmesema kwa sasa,,, huyo muuliza swali atakua anamaanisha before "sasa" je hakuwaga na jina? au mlimpokea bila kuchukua maelezo yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom