Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,301
- 37,056
daktari mmesema kwa sasa,,, huyo muuliza swali atakua anamaanisha before "sasa" je hakuwaga na jina? au mlimpokea bila kuchukua maelezo yake?
SEMEJA,
Mfano upo let's say posta UKADONDOKEWA NA KITU KIZITO KICHWANI..
HUNA KITAMBULISHO CHOCHOTE, HUNA SIMU..KUMBUKUMBU ZIKAPOTEA..WASAMALIA WANAKUPELEKA HOSPITAL..
Ukifikishwa hospital : UTAPEWA UTAMBULISHO WA MUDA(HOSPITAL NUMBER) Ili kufuatilia matibabu Yako maana kipaumbele ni KU SAVE LIFE..Sio kujua JINA.
Then hali ikitengemaa/ kupata ahueni still akawa Hana kumbukumbu na hana simu Wala vitambulisho ndio hapo huchukua hatua ya kupiga picha na kutangaza kwa UMMA (matangazo)