Tunatafuta Fresh Graduate wa degree ya Accounting GPA > 3.6 Second Upper class

Tunatafuta Fresh Graduate wa degree ya Accounting GPA > 3.6 Second Upper class

Wewe binadamu ni bonge la intelligent...wabongo nadiriki kusema ni wapumbavu sana, hizi degree zenu za magumashi mtabaki kuwa watumwa tu, na hii imepelekea majority ya wanafunzi kuwa mwabingwa wa kucheat kwenye mitihani kisa wasije kupata gpa ndogo...who said eti GPA na utendaji vinauhusiano? on what grounds? nimefanya shortlisting ya applicants juzi kati, people zina GPA mpaka za 4 plus lakini hata uwezo wa kuandika barua ya kuomba kazi ambayo ina mwonekano wa ki-professionalism hakuna, tumekwenda kwenye zoezi zima la interview aibu tupu, mtu ana masters lakini in the first place uwezo wa kujieleza hana, communication skill poor na huyo huyo ana GPA kubwa ajabu....cha kushangaza kuna vijana wana gpa za kawaida kabisa na wengine ni fresh from college/university wanaweza kujieleza kuliko hao mnaodai mna GPA kubwa na wengine plus work experience ya miaka kibao....Pumbavu zenu sana wabongo, i wish watu wangerudi kupiga course za VETA kuliko huu upuuzi wa degree za magumashi tupu.

GPA yangu personally ni kama ya mzee wa msoga, lakini nimeweza kwenda mpaka international level, mpaka kuvuka border, na nimeweza ku deliver what employer wanted. Sasa sijui mtu anaweza kuniambia kitu gani hapa....upuuzi mtu. Jikiteni zaidi kwenye kuelewa vitu, na si kusoma madesa yenu na kukimbilia kufaulu mitihani tu.

Pole sana graduates wa 21st century na particularly Tanzania.

Acha majivuno wewe
 
Huyo unawezakuta ana diploma
We ----- kweli, it doesn't matter.....nina postgraduate in Financial Management 2010, Advanced Diploma 2005, nafanya Diploma in Project Management (UK) 2013 namaliza....Uzoefu 7 years sasa unasemaje?....wewe una nini? na juu ya yote wife anafanya masters-UDSM, Nalipa ada mwenyewe.....kenge kweli
 
Acha majivuno wewe
Siyo majivuno boss...let's speak the truth, kuna people zina bore sana, wamekariri kariiri huko wanataka kuleta kujua sana, shule zenyewe za siku hizi watu wanasoma wapi, uzushi mtupu......watu wanakimbiza mwenge last minutes wakati wa kufanya mitihani, kusanya kusanya vi makaratasi, kuibia mitihani na wanafanya vizuri....very few individual wanasoma kwa bidii kweli na wanaweza kwena extra mile kujiongeza kwa kutafuta maarifa kwa kusoma vitabu vingi.....mbona tumeona watu kibao mpaka ana maliza hajawahi kutia mguu library kujisomea na mwisho wa siku anapiga mambo safi tu? Mbona tuna ma college mates kibao ambao wamefaulu kwa kuingia vyooni kusoma majibu au kutoa paper nje na leo hii wapo kitaa wanakula good time na GPA za maana?
Tuache uzuzu huu.
 
Dear JF Members et all,

We are looking for a young and dynamic Accounting graduate from any reputable University with the following attributes:

1. Good taxation (VAT, Corporate tax, PAYE, SDL, W/holding tax etc) knowledge
2. Good knowledge of Debits and Credits (it is not a joke most graduates cannot do this properly)
3. Good understanding of Tanzanian business environment
4. Degree in Accounting (major)
5. GPA of not LESS than 3.6
6. Graduated year 2012

If you have above qualifications please apply confidently to recruitment@sfgroup.co.tz

Please write Subject: Taxation in your email

Deadline is 16/01/2013. Interview is on this Friday 18/01/2013

Ukiona hujaitwa ujue hukubahatika. GPA imewekwa kuchuja applicants.

Thanks na karibuni

mimi nina gpa ya 4 ila nimehitimu zamani yani 2010,je nitume?
 
We ----- kweli, it doesn't matter.....nina postgraduate in Financial Management 2010, Advanced Diploma 2005, nafanya Diploma in Project Management (UK) 2013 namaliza....Uzoefu 7 years sasa unasemaje?....wewe una nini? na juu ya yote wife anafanya masters-UDSM, Nalipa ada mwenyewe.....kenge kweli

ukimaliza shule uje tukupe project ya gas ya mtwara maana tunaisi tunaibiwa,sawa mjomba????
 
I second your views.

Not only that but also; How do I limit number of applicants?. Nobody has time to go through 200 CVs for a single job.

UR DAMN RIGHT!! Pipo shud undstand..."mwenye kisu kirefu ndo mla nyama"..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom