Tunatafuta Basi la Shule – Malipo ya Awamu 🚍 TABORA

Tunatafuta Basi la Shule – Malipo ya Awamu 🚍 TABORA

tinWyn

Member
Joined
May 20, 2023
Posts
24
Reaction score
23
Habari,

Tunatafuta mtu au kampuni inayoweza kutupatia school bus kwa mpango wa malipo ya awali (down payment) na kisha kumalizia kulipia kwa awamu. Shule ipo Tabora na basi litakuwa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi.

Kama una au unajua kampuni/mtu anayeweza kutoa huduma hii, tafadhali wasiliana nami moja kwa moja kupitia
Call 0763287865/
WhatsApp

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Acha ujinga watafutwe EFTA wasiliana na ukimaliza nenda tata kachukue tata mpya ya 100m kwa downpayment ya 20m .
 
Mkuu wacheki Kuna jamaa flan Jana walikua na kikao Cha matajiri Cha kuchangiana pesa...walichangiana bilioni 86...wanaweza kufikiria kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom