Tunasubiri Ujio wa king'amuzi cha continetal Mbeya

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
303
Nasubiria kwa hamu kubwa king'amuzi cha continetal, naomba mwenye uelewa kuhusiana na king'amuzi hicho na je mbeya kinafika lini na je knaweza kufika Rungwe hadi kyela? malipo yake yapoje na chanel zake ni zip? sababu Startime kyela hawafiki kabsa.
 
malafyale, usifikirie ving'amuzi vya antena. tafuta AZAMTV usipo penda azam nenda TING hizo za antenna quality mbovu sana.
salimia mikumi, kalumbulu, nkuyu, kyela kati,mikoroshini, community
 
Thanx wakyela, vp kuhusu ting wana channel za bure pia? (local chanel) mi kpato cha chini ndg yang
 
Nasubiria kwa hamu kubwa king'amuzi cha continetal, naomba mwenye uelewa kuhusiana na king'amuzi hicho na je mbeya kinafika lini na je knaweza kufika Rungwe hadi kyela? malipo yake yapoje na chanel zake ni zip? sababu Startime kyela hawafiki kabsa.

kaka karibu miezi4 sasa continental tunaipata kwa kutumia dish ktk satelite ya amos4 17 degree west.freq hizi hapa 11137 v 30000.hulipii chochote.angalizo ni receiver za mpg4 tu
 
Thanx wakyela, vp kuhusu ting wana channel za bure pia? (local chanel) mi kpato cha chini ndg yang

Sijajua vizuri bei zao ila ina gonga 200,000/- cha dish maana najua huko antenna hawajafika.
channel za bure zipo ila magumashi malipo ya mwezi yakiisha wanakata zamani ilikua bure kabisa channel zote.
ungepata azam nao pia malipo ya mwezi yakiisha channel za nyumbani pia wanaondoa.
naona azam ni afadhali kidogo service ipo consistence
 
hata azam fta zinaondoka baada ya wiki3
 
Back
Top Bottom