Tunasubiri madhara ya mv alina?

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
Kwa muda mrefu hicho kivuko beam zake na hydraulic naweza kusema ni mbovu.
Nasema hivyo kwani karibu mwaka sasa kivuko hicho milango yake haiwezi kufunga au kufunguka vizuri,hili linapelekea maji yanapokuwa yamejaa baharini kuingia au kuchotwa na hayo malango.
Sasa sijui hakuna mainjinia....
Au spare zake hazipatikani duniani....
Au gharama zake ni kubwa kushinda uhai wa binadamu.....
Au tungojee ya mv bukoba ndio tuunde tume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom