tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.