Tunasubiri maafa yatokee UDSM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunasubiri maafa yatokee UDSM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tindikalikali, Sep 12, 2011.

1. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#1
Sep 12, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha kusikitisha majengo yanabeba watu, mara mbili ya uwezo wake. Je tunasubiri maafa ndipo tujue kwamba yale majengo yameoza? Na ikija kutokea tutapata idadi ya ajabu ya wahanga pale. Nawasilisha.

2. m

mamanalia JF-Expert Member

#2
Sep 13, 2011
Joined: Nov 7, 2009
Messages: 671
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
ikitokea maafa watasema bwana ametwaa na bwana ametoa. halafu tutasahau

3. Faru Kabula

Faru Kabula JF-Expert Member

#3
Sep 13, 2011
Joined: Mar 26, 2009
Messages: 10,642
Likes Received: 2,875
Trophy Points: 280
Nao wanafunzi wakiambiwa wasibebane hawasikii!

4. pascaldaudi

pascaldaudi JF-Expert Member

#4
Sep 13, 2011
Joined: Mar 25, 2009
Messages: 534
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Ni kweli, tena hall 2 yaani ukiliangalia limeegama kabisa kuelekea barabarani,

5. Kaduguda

Kaduguda JF-Expert Member

#5
Sep 13, 2011
Joined: Aug 1, 2008
Messages: 670
Likes Received: 281
Trophy Points: 80
Pamoja na kuegama wako wadau walishawahi sema kwamba yanatitia na kama haitoshi mule ndani kuna nyufa za uhakika ambazo ni hatari tupu! Ila mhh mpaka siku yatakaponynga watu, then tutapeperusha bendera nusu mlingoti na kuuza sura za huzuni yanapita hakuna atakayekuwa responsible hata mmoja! Hii ndo bongo yetu!

6. Mamzalendo

Mamzalendo JF-Expert Member

#6
Sep 13, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 1,664
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Halafu kuna maprofesa wa uhandisi na mambo mengine hivi kweli kuna umuhimu wa elimu?

7. R

Rangi 2 Senior Member

#7
Sep 13, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 171
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Sio hall 2&5 tu isipokuwa chuo karibia chote kimeoza. Hall 5 inatisha. Tembelea kule Engineering pia uone.

8. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#8
Sep 13, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
mkuu tusiwalaumu wanafunzi, tujiulize kwanini wanabebana? Mi nashindwa kuelewa nini kinachokwamisha kuongeza majengo ya hostel, huwa sielewi kabisa.

9. matungusha

matungusha JF-Expert Member

#9
Sep 13, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 596
Likes Received: 12
Trophy Points: 35
Mkuu hebu tupatie engineering proof za kuonesha kuwa jengo linaanguka please usisahau kuwa strenght ya jengo inkua determined by the qulity of beams and columns za jengo je zime deviate from standard? Isije ikawa wewe ukiona rangi ya jengo chafu unaconclude kuwa jengo litaanguka...
still i'm waiting for Engineering analysis
Pl

10. Gama

Gama JF-Expert Member

#10
Sep 13, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 9,225
Likes Received: 1,411
Trophy Points: 280
Harafu tutakataa misaada ya vodacom kwasababu yeye ame-promote ulimbwende siku ya tukio la kizembe lilotokana na serikali legelege isiyo na maamuzi, yeneye utitiri wa agencies zinzojinufaisha na taxpayers' money bila kutimiza wajibu.

11. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#11
Sep 13, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
mkuu sijaangalia uchakavu, bahati mbaya sina hiyo ripot ila wenye data zaidi nadhan watatujuza.

12. Gama

Gama JF-Expert Member

#12
Sep 13, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 9,225
Likes Received: 1,411
Trophy Points: 280
Ndo maana vijana wote wakipewa kazi wanakuwa mafisadi-chuo majengo yameoza, huko sekondari walikotokea ndo usiseme........ni muendelezo wa maisha yasiyo na matumaini ya kufika kesho. Hata ukienda SUA majengo yanatisha:hostel 3 vyumba vinavuja. Inv building ndo hiyo Eng. Mlengela ali-condemn kuwa not fit fo occupancy lakini academician wengine wakaziba masikio. No government- to say afew.

13. kibhopile

kibhopile JF-Expert Member

#13
Sep 13, 2011
Joined: Aug 5, 2010
Messages: 1,307
Likes Received: 126
Trophy Points: 160
Kwani kuna hata mtoto mmoja wa magamba anayelala hapo??

14. B

Bijou JF-Expert Member

#14
Sep 13, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,177
Likes Received: 86
Trophy Points: 145

ndugu hapo kwenye red, ni condemn na occupancy, tuwe makini

15. B

Balozi Chriss Senior Member

#15
Sep 13, 2011
Joined: Jan 21, 2011
Messages: 154
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Wadai ni Pisa's tower kama ile ya kule Italy.....Tahadhari kabla ya hatari ni hatua muhimu sana ktk kuepusha maafa ya namna yeyote.Hata kwenye vitabu vitakatifu tunaonywa kuchukua tahadhari kabla ya kiama.

16. B

Bajabiri JF-Expert Member

#16
Sep 13, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Na tume zitaundwa,wataletwa wataalam wa Estate,CoET,Ardhi university na wizara ya elimu,ya tibaijuka,,,,,,tanzania bwana,ni kweli hayafi,nimeish pale miaka mitatu,kwakweli kuna muda zege za nyuma ya jengo hujiachia hata mziki ukiwa wa sauti ya juu

17. kanywaino

kanywaino Senior Member

#17
Sep 13, 2011
Joined: Sep 10, 2010
Messages: 171
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
wanachuo kwa dini zenu mnatakiwa msali sana kumwomba mungu,maana hapo kuna watu yamkini wanaombea mfe wapewe kamati ya kuchunguza hicho chanzo cha kubomoka majengo.mh msipoomba kwa mungu kweli mtaangamia sanaaa

18. domokaya

domokaya JF-Expert Member

#18
Sep 13, 2011
Joined: Apr 22, 2010
Messages: 3,112
Likes Received: 1,247
Trophy Points: 280

Ikitokea hiyo itakuwa poa sana, maana wasanii watatunga nyimbo nyingi na picha zake zitapendeza sana si unajua hall 2 na hall 5 na kama Twin towers za sept 11, tunalisubiri hilo kwa hamu watanzania tuwe kwenye ramani ya dunia tena. Hebu imagine vichwa vya habari katika vyombo vya nje. Dar University Disaster, Hostels collapse in Dar, Dar Urges for Intl Aids, Dar Mourns Intellectuals na hapa bongo Daily news nalo Hill Twin Towers Kill Thousands, The African nalo Dar Varsity in Sorrows na lile jingine litasema Bodi ya Mikopo Yapunguziwa Mzigo. Wow! kwa kweli
inavutia

19. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#19
Sep 13, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
mi nashukuru Mungu nilitoka salama, nilikaa miezi miwili tu pale hall 5, floor ya 11.

20. Gama

Gama JF-Expert Member

#20
Sep 13, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 9,225
Likes Received: 1,411
Trophy Points: 280
Hakika ni vema kushukuru kwa kila jambo, lakini kama bado uko nchi hii na haya utayaepuka?!- meli mbovu, ndege mbovu, magari mabovu, pkpk mbovu na madereva wabovu, umeme unaowaka ovyo ovyo, maji machafu etc..........

Loading...