tunasoma kibongobongo

halafu wakifeli mitihani, serikali inakujaj juu, tume inaundwa na kuanza kustandardize matokeo.
Pumbaaaaappp sana..!!
 
Halafu wabongo tunapenda sana kulalamikia matokeo, hatulalamikii elimu yenyewe. Inakuwaje wanaojiunga na vyuo vya ualimu ni wale waliopata marks za karibu na kufeli? Kwahiyo walimu ni wanafunzi wa zamani waliofeli. Wala hatulioni hilo, badala yake tunataka wanafunzi wa sasa wafaulu tu! Anyway, hakuna shida sana kwakuwa sikuhizi tuna utaratibu wa kustandardize.
 
Kama kawa ya wanywaji, wakisha tumia lager ndipo huanza kuongea Kingereza.
Nahisi hapo dogo anaandika Kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…