Tunashughulika na mbwakoko

Tunashughulika na mbwakoko

Kuwatunza kuwafundisha na kuwauza
Mbwa mzee anafundishika?

Nani atanunua mbwa mzee kwa ajili ya ulinzi na sio mbwa mtoto?

Soko lenu la kuwauzia lipo wapi ?
 
Mbwa wazee tunawatumia kwa utafiti wa chakula cha mbwa tunayo endelea nayo. Pia wanatumika kwa walinzi wetu malindoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom