Nilikua nataka moja tu vipi unaeza kunipatia jumatatu. Nimeenda msibani kidogo nitarud jumatatuNtakucheki kesho saa 7
Mkuuu huyu anauza body spray sio pafume.....Hizi Unazo? Price yake Tsh Ngapi?
View attachment 458838
Hiii sina kwakweliHizi Unazo? Price yake Tsh Ngapi?
View attachment 458838
Jifunze kiswahili kwanza, kama unasema unamletea mahali alipo yanini useme unapeleka pale mteja alipo sema utafuta kwa gharama zakoWw unanitajia aina then tunafanya biashara .usafiri inategemea na umbali ila utachangia elfu 10000 tu au unaweza kuangalia uwezekano wakuzifuata kunduchi Dar es salaaam
Jifunze kuelewa kwanza ndooo ujibu so wote wenye uwezo wakupelekewa kutokana na ghalama so tunaweka unafuu wa kuchagua kwa muhitaji anaelewa nn anafanyaJifunze kiswahili kwanza, kama unasema unamletea mahali alipo yanini useme unapeleka pale mteja alipo sema utafuta kwa gharama zako
Kuanzia migo wa sh ngapi. Au hata nikihitaji kamoja kwa bei ya Jumla utaniletea huku chanikaTunapatikana kunduchi line police
Namba0627927909
Nikwajumla tu
Ni kwa Tsh 4000 tu unaletewa mahali ulipo
unauzia dukani au chumbani?9500