Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,776
Sioni kama kuna mbadala kwa Tanzania, labla tuwekeze kwenye umeme wa nguvu za upepo, Mwisho wa mwaka 2009 takriban asilimia 1.3 ya mahitaji ya umeme duniani yalipatikana kwa umeme wa upepo. Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha teknolojia hii zinapata kiasi kikubwa zaidi.Toa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika
Toa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika
Sioni kama kuna mbadala kwa Tanzania, labla tuwekeze kwenye umeme wa nguvu za upepo, Mwisho wa mwaka 2009 takriban asilimia 1.3 ya mahitaji ya umeme duniani yalipatikana kwa umeme wa upepo. Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha teknolojia hii zinapata kiasi kikubwa zaidi.
Nchi inayopata kiwango kikubwa cha mahitaji yake ya umeme ni Denmark yenye asilimia 20 za umeme wa upepo.
Katika Hispania ni 11% na 9% katika Eire.
Mnamo mwaka 2015 nchi ya Denmark ilizalisha asilimia 40% ya umeme wake kwa njia ya umeme wa upepo
Angalau nchi 83 duniani zinaingiza umeme kutokana na matumizi ya nguvu ya upepo katika mitandao ya umeme ya kitaifa.
Mnamo mwaka 2014 umeme wa upepo ulifikia tayari asilimia 4 za umeme wote uliotumiwa duniani.
Katika Umoja wa Ulaya kiasi hiki kilifijia tayari asilimia 11.4 Katika Afrika ni hasa Afrika Kusini iliyoanza kutumia chanzo hiki cha nishati.
Nchini Kenya Mradi wa umeme wa upepo wa Ziwa Turkana ulianzishwa mwaka 2010 ukilenga kutoa megawati 300 baada ya kukamilika
Hayo matope kujaa ilikua mbinu ya wapiga dili ku justify wao kuleta generators na madili yao mengine yote machafu.Umeme wa maji sio teknolojia mpya. Ilishafanyika siku nyingi tu hapa na mahali pengine duniani. Uchafuzi wa mazingira ni kitu kisichoepukika (kuna kipindi tuliambiwa bwawa la Mtera limejaa udongo na hivyo kusababisha kina chake -na hivyo uzalishaji umeme - kupungua). Tuliambiwa pia kuwa kuuondoa ni kazi kubwa yenye gharama kubwa hasa.
Someni article hiyo hapo chini.
Large hydropower dams 'not sustainable'
gas power ovaaaaa!!!Toa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika
1. Magufuli ajiuzulu madaraka ya urais.Toa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika
Si tulijinasibu kwa umeme wa gasToa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika