Tunaposema kiwanda/viwanda nini tafsiri yake ?

Tunaposema kiwanda/viwanda nini tafsiri yake ?

fathergetho

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
1,550
Reaction score
914
Habari wadau..

kama kichwa cha habari kilivyo,ni vema wanajamii kujuzana maana au tafsiri sahihi ya neno kiwanda,kwasababu tukinukuu kauli ya mh waziri pia juzi mh raisi wanasema hata ukiwa na cherehani na ukaajiri mtu hicho kitafahamika kama ni kiwanda...nakuwa napata shida sana kumbukizi yangu niliyofundishwa school na maana za hawa waheshimiwa wetu....je ipi maana sahihi ya kiwanda ili hata siku nyingine na wadau wengine tusistaajabu tukisikia maana kama hizi za waheshimiwa wetu?
 
hata ukiwa na watoto watatu na ukaajiri beki 3 hicho ni kiwanda
 
Back
Top Bottom