Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

Serikali ya CCM haijawahi KUPINGA chanjo dhidi ya CORONA kwa tangazo kupitia GAZETI (GN).

Hakuna pahala serikali SIKIVU YA CCM ilikataa CHANJO....bali lilikuwa ni ANGALIZO tu juu ya CHANJO HIZO kwani bado ASTRAZENECA na nyinginezo HAZIJAWA "EFFECTIVE" na SHUHUDA nyingi zimetolewa na nchi za ULAYA juu ya kusababisha Madhara ya hapa na pale.......


Serikali ya CCM haiwezi kuzikataa CHANJO kwani imekuwa ikizipokea za watoto dhidi ya KIFADURO ,DONDA KOO ,KIFUA KIKUU ,KICHOMI ,SURUA ,HOMA YA INI NA PEPOPUNDA kwa kuwa Ni magonjwa ya muda mrefu na YAMESHAFANYIWA MAJARIBIO mara kibwena... .
 
Maza anataka kuanza kucheza mziki ambao hajui mapigo yanaendaje...

Kuna watu wanakuza issue ya corona mpaka ukiwasikiliza unaweza ogopa kutoka ndani kwako.
Jiwe imefyeka
Kijazi imefyeka
Maalim Seif imefyeka
Mahiga Imefyeka
Hao natumai hata wewe unawafahamu
 
Jiwe imefyeka
Kijazi imefyeka
Maalim Seif imefyeka
Mahiga Imefyeka
Hao natumai hata wewe unawafah

Jiwe imefyeka
Kijazi imefyeka
Maalim Seif imefyeka
Mahiga Imefyeka
Hao natumai hata wewe unawafahamu
Tupe official proof ya kilichowaua ... Achilia mbali Maalim ambao tuliambiwa ni corona... Kinyume na hapo ni muendelezo tu wa kujazana hofu...
 
Naiona CHADEMA ikitwaa Madaraka hapa Tanzania iwapo kutakuwa na Uwanja huru wa kisiasa.
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Binafsi ninaisubiria CHANJO dhidi ya CORONA....nitakuwa wa mwanzo mwanzo KUDUNGWA huku nikipigwa PICHA na kuitundika humu.....

Nilishadungwa chanjo dhidi ya HOMA YA INI kwa hiyo sitalaza DAMU in shaa Allah!!!

#UlinziWaAfyaHuanzaNaMwenyewe
 
Ukusikiliza sana wanasiasa unaweza ogopa sana kuhusu hili gonjwa, laikin ukiludi mtaani kwako/katika jamii unayoishi yanayoongelewa n tofauti na uhalisia, naona tunaamuwa kwenda na trending ya WHO ila hakuna uhalisia huo.
CORONA ipo ila n kama magonjwa mengine, coz toka itangazwe kuingia nchini cjawai vaa barakoa, nashinda kwenye mikusanyiko na bado afya yangu na watu tunaonana mala zote wote tupo salama.
Naamini katika upinzani ila tusiwafanye kama ndio miungu watu kwamba kila wanaloongea ni sahihi, mapambano dhidi ya covid na Magu yaliendeshwa vizuri
Pumbavu zako
 
njia za magufuli zilizaa matunda Sana
Angalia Hali ya Corona ya Tanzania na nchi jirani NI sawaa!?.
1.kumuomba mungu.
2.nyungu.
3.malimao na tanga wizi
hizi njia ndo zimetufikisha hapa.
Na Sisi NI mashahidi huko mitaani hakuna wagonjwa wa Corona na watu wanaishi kama kawaida
Kwenye msiba WA maalim seif na magufuli watu walitabiri mwezi wa 5 mwaka huu.
Hospital nyingi zitajaa wagonjwa wa Corona.
KIPO WAPI?.
N.B MTEGEMEA MUNGU HAKOSI LAKE FUNGU.
 
Back
Top Bottom