Tunapopangiana kula

...tufafanulie me/ke wanafanya shughuli ghani?....kila mmoja kuna jambo analificha...Ndoa ndoano

Mkuu si nimesema tujadili kama ni vyema kupanga au sio vyema?
Masuala ya huyo dada hebu yaache kwa sasa!
 
Last edited by a moderator:
mwambie akubali ila ikifika hiyo siku yeye awe anaumwa ikija siku nyingine ampe kishingo upande kama vile hataki mpaka ivurugike hiyo the so called ratiba.

Sasa si aseme tu kama ratiba inamboa?
Kwanini uzunguuke wakati majibu unayo?
 
.mwambie huyo mwanadada afanye umalaya akiwa na mumewe chumbani siku ambayo hakuna ratiba , ili tuone kama huyo mumewe atamuacha..........
Hapo mkuu sijakupata kabisa!
 

Duh!
Kwahiyo kama akibadilishiwa msosi kila siku ya tukio jamaa atatamani kuula daily?

Vipi kama asipobadilika na akawa hana mpango wa kando?
 
Haya ni majanga, hili swala halihitaji ratiba kabisa, yatakiwa tit for tati
 
I dont think if its a good idea

sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana

we siku una ham halafu unakutana na ratiba....

Na siku uliyochoka mpaka hutamani mtu akuguse hata bega ndio inaangukia kwenye ratiba mwee!!
Ndoa nyingine hizi!!
 
Na siku uliyochoka mpaka hutamani mtu akuguse hata bega ndio inaangukia kwenye ratiba mwee!!
Ndoa nyingine hizi!!

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa unakuwa umechoa na kitu gani?
 
Duh!
Kwahiyo kama akibadilishiwa msosi kila siku ya tukio jamaa atatamani kuula daily?

Vipi kama asipobadilika na akawa hana mpango wa kando?
Eiyer tendo hili lahitaji ubunifu, utundu na kila aina ya shamra ili kulifanya liwe mchezo mzuri wa burudani yenye mafao........... sasa ukilifanya liwe monotonous linabore. Na ni jukumu la wote sio la mwanamke tu kuliboresha. Asipobadilika huyo mbaba basi kuna la ziada. Nakumbuka kuna mdada aliolewaga na bwana ambaye hawakuwa wamewahi kukutana kimwili kabla ya kuoana. Lakini mara baada ya ndoa na kukutana, fungate ilikwisha na kufuatiwa na kuachana, mpaka leo hakuna anaejua kisa na mkasa.......... na hata huyo mke mwenyewe hakuwahi kujua kosa lake lilikuwa ni nini...................................
 
Last edited by a moderator:

Mambo ya shake well before use hayo....!!!!!!

Lakini pamoja na ubunifu mnaodai unaboresha tendo hilo mbona kila uchao linawakinai wanandoa na kukimbilia nje?
Kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…