ukikutana na ratiba im....for...I dont think if its a good idea
sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana
we siku una ham halafu unakutana na ratiba....
kwahiyo utakubaliana na emergence ya mama kutoku-doo pia? nayo pia ni emergence.Kila kitu mipango, chakula kitamu usikile sana kikakuisha hamu, mkipanga kila mtu anajua na kijiaandaa ili siku ya mechi apapfom better mii na wyf 2napractice hilo, ila tushaambizana emergence ipo kama mtu amezidiwa
mwambie akubali ila ikifika hiyo siku yeye awe anaumwa ikija siku nyingine ampe kishingo upande kama vile hataki mpaka ivurugike hiyo the so called ratiba.Nilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili
Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba maalum,yaani kama vile ambavyo wanaweza kupanga ratiba ya chakula yaani leo tunakula ngararimu na ijumaa tutakula kiburu basi itakuwa hivyo na kwenye suala la unjumba
Dada huyu ameniambia kuwa hali hiyo haipendi na kwa kuwa ananiheshimu ameamua kuniambia hayo ili kama na mimi nakubaliana nalo ama la
Ki ukweli mimi nilimuambia jambo hilo sidhani kama linafaa kwa kuwa kwa mtazamo wangu wa harakaharaka ni kwamba kulipanga kutalifanya liwe linabore hivi
Kitendo cha kujua kesho nitakula kiburu kunakifanya chakula hicho kipoteze ule "utam" wake wa asili
Nilimueleza umuhimu wa kuliongelea hilo suala kwa upole na mumewe na ajitahidi sana kutokuonesha hasira kwani anahisi mumewe amekuwa na nyumba ndogo
Sasa hebu niambieni nyie mnalionaje suala hili la kupanga ratiba je ni jema au halifai?
Nisingependa tumjadili huyo jamaa kwakuwa sio lengo langu kuleta mada hapa
Lengo langu ni kujaribu kulitazama hili suala la kupanga ratiba ya unyumba kama linafaa ama halifai!
Karibuni nyote......!!!!!!!
ukikutana na ratiba im....for...
Duh umetaja vyakula ambavyo bibi yangu kila uchao ndo alikuwa anapika (Kiburu na Ngararimu).Kwa uhalisi huwezi kupanga ratiba ya( chakula cha usiku) hata kwenye mafundisho ya ndoa tuliambiwa yaani ni hapo hapo unapojisikia ilimradi pawe ni mahali salama,hadhi na usiri.Popote iwe bafuni panafaa na mie huwa nachapa tu ikitokea babu anadai kuonana na bibi(Mkeku).Ilo suala ni body emotions zaidi kuliko akili nashinwa kujua kwanini bwana kaka amwabie bi-dada maneno.Ila akijaribu tu ku-practise ameliwa wewe mwambie bi-dada ANIDIPU nije nipige DEIWAKA yaani nimshikie gari kwa muda wakati tunamsubiri dereva/konda aliyeajiriwa kwa kazi hiyo. nyambaf yeye analeta style za kuambiwa na akili za kushikiwa...
I dont think if its a good idea
sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana
we siku una ham halafu unakutana na ratiba....
Kila kitu mipango, chakula kitamu usikile sana kikakuisha hamu, mkipanga kila mtu anajua na kijiaandaa ili siku ya mechi apapfom better mii na wyf 2napractice hilo, ila tushaambizana emergence ipo kama mtu amezidiwa