Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Mfano, mpenzi/mke yupo kwenye kipindi cha uzazi mtoto kashafika miezi sita na zaidi lakini hajisikii kufanya mapenzi mara kwa mara,
Akikupa sana labda kwa wiki mara 2, je sisi wanaume tunaopenda kuchakata tutaweza kuvumilia kweli? Ukizingatia kabla ya uzazi alikuwa anakupa kila muda unaoitaji tena kwa kwa kila style.
Wake /wapenzi wetu msichukue tukichepuka siyo kwamba tunawapenda sana hao michepuko ni kwamba hatuna Budi tu,
Tunachepuka kupunguza tamaa za mwili mtuvumilie.
Cc Zero IQ