Duuh! Pole sana binamu basi usijibu tu ila ukumbuke kutuletea zawadi sasa.Binamu jamani na wewe nashindwa hata la kujibu my dear maswali yako yanakuwaga mazito mpaka basi mwaya.
😍🤩😍🤩😍😘
Lunch time hii Shadeeya ujue
Ushaenda kwani Ses au nije? 😜Lunch time hii Shadeeya ujue
Nakusubiria twendeUshaenda kwani Ses au nije? 😜
Naja Baba twende. 💃💃💃Nakusubiria twende
Na hilo gauni la rangi nyekundu umependezaje, rangi ya njano sio kabisa mamiiNaja Baba twende. 💃💃💃
Nakusubiria uje twende mpenziUshaenda kwani Ses au nije? 😜
Hahahaaa! LolNa
Na hilo gauni la rangi nyekundu umependezaje, rangi ya njano sio kabisa mamii
😍😍😍😍Nakusubiria uje twende mpenzi
Ungejua jinsi ulivofanania kua shabiki wa Lunyasi basi tu najiuliza ilikuaje ukapotea njia....haya uwahi kuja njaa inauna sana😃😃😃Hahahaaa! Lol
😘😍😘😍😍😍😍
Sijapotea njia bana. 🙈🙈 Naja naja 💃💃Ungejua jinsi ulivofanania kua shabiki wa Lunyasi basi tu najiuliza ilikuaje ukapotea njia....haya uwahi kuja njaa inauna sana😃😃😃
Hahahahaaaa njoo tutaongea huwezi jua watu hubadili gea anganiSijapotea njia bana. 🙈🙈 Naja naja 💃💃