NDUKI JF-Expert Member Jan 19, 2013 3,423 2,414 Sep 2, 2019 #5 Namuona Le Mbebez kwa mbaaaali akiwa ame-park kibebi woka chake aisee.
impongo JF-Expert Member Feb 18, 2015 8,732 7,611 Sep 2, 2019 #6 MzaramoTz said: View attachment 1195708 Click to expand... Wewe ke maana naona Vigari vya kike tu
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Sep 3, 2019 Thread starter #7 impongo said: Wewe ke maana naona Vigari vya kike tu Click to expand... Mie nipo ghorofani hapo nawachora tu.
impongo said: Wewe ke maana naona Vigari vya kike tu Click to expand... Mie nipo ghorofani hapo nawachora tu.
blance86 JF-Expert Member Aug 31, 2016 2,081 5,450 Sep 3, 2019 #9 Mkuu hapo ni kijiji gani naona ndinga ya mzee baba hapo le mutuz nye nye nyee
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,323 115,323 Sep 4, 2019 #10 MzaramoTz said: Mie nipo ghorofani hapo nawachora tu. Click to expand... Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎
MzaramoTz said: Mie nipo ghorofani hapo nawachora tu. Click to expand... Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎
The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 19,254 42,873 Sep 4, 2019 #11 Shadeeya said: Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎 Click to expand... Inabidi tu nikubali kwamba warumi yuko likizo ndefu.
Shadeeya said: Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎 Click to expand... Inabidi tu nikubali kwamba warumi yuko likizo ndefu.
Million dollars JF-Expert Member Jul 20, 2016 1,509 2,054 Sep 4, 2019 #12 Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba
Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,323 115,323 Sep 4, 2019 #13 The Monk said: Inabidi tu nikubali kwamba warumi yuko likizo ndefu. Click to expand... Na kweli aiseee Mkuu!!!
The Monk said: Inabidi tu nikubali kwamba warumi yuko likizo ndefu. Click to expand... Na kweli aiseee Mkuu!!!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,570 188,777 Sep 4, 2019 #14 Maisha Ya Wasanii Ni Ya Kisanii
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Sep 4, 2019 Thread starter #15 Shadeeya said: Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎 Click to expand... Binamu jamani na wewe nashindwa hata la kujibu my dear maswali yako yanakuwaga mazito mpaka basi mwaya. 😍🤩😍🤩😍😘
Shadeeya said: Binamu umeanza lini kuwa mwandishi wa habari? 😎😎😎 Click to expand... Binamu jamani na wewe nashindwa hata la kujibu my dear maswali yako yanakuwaga mazito mpaka basi mwaya. 😍🤩😍🤩😍😘
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Sep 4, 2019 Thread starter #16 Kichwa Kichafu said: Maisha Ya Wasanii Ni Ya Kisanii Click to expand... Kwani huyu jamaa nae anaigiza mkuu...?
Kichwa Kichafu said: Maisha Ya Wasanii Ni Ya Kisanii Click to expand... Kwani huyu jamaa nae anaigiza mkuu...?
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Sep 4, 2019 Thread starter #18 Million dollars said: Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba Click to expand... Hahahahah wee jamaa aisee unapita mulemule na tambo zake aisee. 😀😀😀
Million dollars said: Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba Click to expand... Hahahahah wee jamaa aisee unapita mulemule na tambo zake aisee. 😀😀😀
MzaramoTz JF-Expert Member Dec 13, 2017 1,829 2,986 Sep 4, 2019 Thread starter #19 LWENYI said: At Serena hotel au siyo Click to expand... Yes of course you know you know men.
Darmian JF-Expert Member Oct 1, 2017 17,192 46,238 Sep 4, 2019 #20 Million dollars said: Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba Click to expand... Hahaha!!!
Million dollars said: Hapo atapost ataandika "Lunch at 5 star Hotel U know Guyz haya ndo maisha tunayotakiwa tuishi" Lemutuz Mobimba Click to expand... Hahaha!!!